Download Your NIDA number | Copy Online | National ID (NIDA) | Nakala ya kitambulisho cha Taifa
Many Tanzanians have been struggling to find NIDA numbers, NIDA numbers have been a challenge almost every time a Tanzanian citizen needs government or even government services
For those who have already received their nida number, to find out if your NIDA card has been issued and where it is, CLICK HERE
Initially the initial procedure was a bit difficult for people to get NIDA number easily but now the Government of Tanzania has made things easier as you can get your NIDA number online, Read all the procedures on how to Get your NIDA number below
Download Your National ID (NIDA) 2024
Download NIDA Number, Many people have been wondering how to get NIDA numbers, Tanzania National Identity Card, Here is a very simple way that you can get National Identity Card Online.
Read also: Online police loss report form, Click here to download
National Identification Authority (NIDA) is a public institution with a mandate of registering and issuing Secured National ID Cards to citizens , Legal Residents, and Refugees who are 18 years and above.
Recommended: NIDA Online registration Form pdf, Click here to Download
NIDA also manages the National ID Database. Data stored in NIDA database is then shared by NIDA stakeholders eg . Banks, Social Security funds for their customer Identifications processes.
Kufahamu kama kitambulisho chako cha NIDA kimeshatoka na wapi kilipo BONYEZA HAPA
This portal is for retrieving information from National ID Database.
Read also:
NEW JOB VACANCIES IN TANZANIA (2870+ POSTS), Click here
Intended users are
i) NIDA Stakeholders
ii) National ID card owner.
Who uses this portal to set PIN CODE which shall be used to disclose his or her information when needed.
TO GET YOUR NIDA ID COPY~CLICK HERE!
TO GET YOUR NIDA ID NUMBER (NIN)-CLICK HERE!
FOR NIDA Registration Form 2022, Click Here!
FOR NIDA NATIONAL ID VERIFICATION PORTAL CLICK HERE
For more details join us on -
Please help
others by sharing this post to any social network below
U
ReplyDeleteJamani me sitafuti ajira ila natafuta nakala yangu ya kitambulisho cha taifa .
DeletePole, kuna tatizo kwenye server ya NIDA. Nina imani tatizo linashughulikiwa. so soon itakuwa sawa
Deletehiyo huduma imeshafutwa huwezi pata nakala
DeleteNida tunahitaji nakala za vitambulisho vetu online,
DeleteMimi nilikua naulizia kuhusu kitambulisho cha taifa sijapata nina number ya NIDA tu Kama unaitaji kusafiri kitambulisho cha taifa kinaumuimu mkubwa naitaji msaada kwailo
Deletekwanini nida haitaki kufunguka muda huu
ReplyDeleteHabari. Kumekuwa na tatizo kutoka kwa server. Hivyo tatizo lipo kwenye website yao NIDA.
DeletePlease jamani wanajua hili tatizo lipo? Tunakwama uhamiaji huku.
DeleteYah wanalijua. Watakua wanalifanyia kazi. Hivyo siku chache zijazo itakua hewani
DeleteHii issue ya NIDA inaturudisha nyuma sana hasa uhamiaji
ReplyDeleteSiku chache zijazo itakua hewani
Deleteaise nida wanakwama wap jamani? id copy azipatikani kwenye mtandao
DeleteMbona kuangalia copy inagoma?
ReplyDeleteKuna tatizo kwenye server ya nida.
DeleteNIDA ni wazembe sana kiujumla.
ReplyDeleteNtaangaliaje copy ya nida, maana naona haiufunguki
ReplyDeleteKuna tatizo kwenye server ya nida. So tarajia itawekwa sawa sawa
DeleteJamani nahitaji kupata nakala ya kitambulisho cha taifa msaada tafadhali na siyo namba maana suala la namba limeisha yaani tayari ninayo.
ReplyDeletejamana nataka nakala ya National Id from Nida portal sioni
ReplyDeletesamahani naomba kuuliza swali,Je upo uwezekano wa kubadilisha taarifa zangu za NIDA ? na kama ndivyo utaratibu ukoje? Asante
ReplyDeletetatizo la Server @nida bado halijaisha tunahangaika huduma mbona ni mbovu
ReplyDeleteChangamoto hii inaboa sana,ktk hili
ReplyDeletewengine tunapata shida tunaofanya kazi internet cafe wananchi wanataka nakala za vitambulisho vyao lakin tatitzo huduma hatuipati, ninaomba hili tatizo lishuhulikiwe, wananchi wapate hii huduma manake kuna mambo yao yanakwama
ReplyDeletembona hizo nakala hazifunguki tatizo ni nini??????tunapata tabu wenye internet cafe
ReplyDeleteHatutafuti nida tunatafuta copy ya nida
ReplyDeleteHii nchi mnatutesa saana raia kodi yetu huduma nazo tusotee
DeleteJaman mbon kama wametukatil nahitaj kupiga kura tareh 28 basi warudishe hyo huduma ili niweze kupata copy ya kitambulisho sabab cha mpiga kura sina
ReplyDeleteNi da mnatuangusha jamani tupeni huduma
ReplyDeleteJaman nataka copy yangu yakitambulisho cha nida mbona kama hakuna hiyo huduma kama mlivyo oanisha hapo juu???
ReplyDeleteJaman mim nahitaji nakala ya kitambulisho cha taifa
ReplyDeleteNahitaji kopi ya kitambulisho
ReplyDeletejinaweza kwenda ofisi za nida nikapata copy ya kitambulisho
ReplyDeletemngejuwa umuhimu wa ivyo vitambulisho msinge kaa na izo copy mnatuludisha nyuma sana utendaji kazi wenu bado sana miaka mitatu mtu ana kaa bila kitanbulisho
DeleteMbona nida haioneshi namba za taifa, taarifa ziko sahihi lkn bado inataka nihakiki??
ReplyDeleteMwenye kunisadia na tatzo hili pls anijulishe
ReplyDeleteilo sio tatizo ndugu zangu wame funga hiyo huduma toka kitambo tuu msitarajie kitu kta kua sawa
ReplyDeleteThank you for sharing this details. Iwas looking for Fomu ya nida 2a
ReplyDeletewelcome and thankyou too for visiting our blog
DeleteJamani mbona haifunguki?na ninahitaji copy ya kitambulisho cha Nida?Nakosa huduma muhimu.
ReplyDeleteNothing done here
ReplyDeleteApply for EFCC Recruitment on the official recruitment portal
ReplyDeleteniliandikisha kitambulisho cha nida saivi ni miezi 3 sijapata naangalia online servise hakuna nifanyeje?
ReplyDeleteSITTA SAGUDA
ReplyDeleteNyie ni wapuuzi tu hakuna chochote humu
ReplyDeletehuduma ya kupata kitambulisho online ipo na nafanyaje
ReplyDeleteMbona haifunguki hiyo kop ya nida
ReplyDeleteRichard nyanda budaga
ReplyDelete6/4/2000
ReplyDeletePost a Comment