Fahamu kiundani kuhusu kirusi cha Korona | Coronaviruses (CoV) Highlights

0
 Coronaviruses 004 lores.jpg
Historia ya Korona
Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano wa kirusi hicho katika hadubini hufanana na taji ya mfalme.
Idadi ya Wagonjwa wa korona Tanzania hadi sasa, Bonyeza hapa 

 Kirusi hicho hutoka katika kundi la vimelea vingi viletavyo homa za mfumo wa hewa mfano mafua

Kirusi cha korona husafilishwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu (zoonotic disease).
 Kusoma maelezo yote yahusuyo kirusi cha korona, Tafadhali bonyeza link hapo chini kudownload pdf file yenye maelezo yote



DOWNLOAD PDF FILE HERE

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)