Historia ya Korona
Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano wa kirusi hicho katika hadubini hufanana na taji ya mfalme.
Idadi ya Wagonjwa wa korona Tanzania hadi sasa, Bonyeza hapa
Kirusi hicho hutoka katika kundi la vimelea vingi viletavyo homa za mfumo wa hewa mfano mafua
Kirusi
cha korona husafilishwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu (zoonotic
disease).
Kusoma maelezo yote yahusuyo kirusi cha korona, Tafadhali bonyeza link hapo chini kudownload pdf file yenye maelezo yoteDOWNLOAD PDF FILE HERE
Post a Comment